Ikhwanul Muslimin yaitisha mazungumzo Misri

IQNA

Harakati ya Ikhwanul Muslimin nchini Misri imetoa wito wa kufanyika mazungumzo ili kumaliza mgogoro wa kisiasa ulioibuka nchini humo baada ya rais Mohammad Mursi kuondolewa madarakani mwezi Julai.
Habari ID: 1318451    Tarehe ya kuchapishwa : 2013/11/17